Skip to main content
Skip to main content

Matokeo duni ya KCSE 2025

  • | Citizen TV
    347 views
    Duration: 1:11
    Nusu ya watahiniwa wa KCSE mwaka wa 2025 hawakupata alama za kuwawezesha kujiunga na vyuo vikuu. Asilimia 48.7 ya watahiniwa hao walipata alama ya D- kwenda chini na kuwaweka nje ya mipaka ya programu za digrii.