9 Jan 2026 7:36 pm | Citizen TV 899 views Duration: 2:01 Matokeo ya zaidi ya wanafunzi elfu moja yamefutiliwa mbali kwenye matukio ya mtihani wa KCSE wa mwaka jana. Hii ni kufuatia visa vya udanganyifu vilivyoripotiwa wakati wa mtihani huu.