- 26,620 viewsDuration: 3:04Matukio ya vurugu yameshuhudiwa katika usiku wa kuamkia mwanzo wa chaguzi ndogo maeneo mbalimbali nchini. Kutoka kwa magari yaliyotwkwtwzwa, wagombea walioshambuliwa na wapigakura walioshiriki katika mapigano. uchaguzi mdogo katika baadhi ya maeneo yenye ushindani mkubwa kama Malava , Mbeere north na Narok mjini ulianza kwa fujo.