21 May 2026 1:18 pm | Citizen TV 809 views Duration: 1:27 Wakazi wa kaunti ya Isiolo wapatwa na mshtuko baada ya mwili unaokisiwa kuwa wa mfanyibiashara aliyeripotiwa kutoweka mwezi mmoja uliopita kupatikana.