10 Dec 2025 7:45 pm | Citizen TV 3,605 views Duration: 37s Mauaji ya wanawake nchini yaliongezeka mwaka jana ikilinganishwa na miaka minne iliyopita. Ripoti ya taasisi ya kitaifa ya kuchunguza uhalifu pia ikisema kuwa, vijana wa kuanzia miaka 20 wamekuwa wakihusika na mauaji