Mawakili wa Rashid Echesa wanadai amenyimwa haki

  • | Citizen TV
    988 views

    Aliyekuwa waziri wa zamani wa michezo Rashid Echesa anaendelea kuzuiliwa na polisi katika kituo cha Muthaiga kwa siku ya tatu sasa baada ya kukamatwa kwa madai ya utapeli.