- 5,556 viewsDuration: 2:32Ibada ya mazishi ya watoto watatu wa familia moja waliofariki kwenye ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Soysambu, Gilgil kaunti ya Nakuru tarehe nne januari ilifanyika leo. Familia na marafiki wamewakumbuka Njeri Deleon, Emmanuel Deleon na Kairo Winkelpleck kama watoto wacheshi, wenye talanta na walioleta furaha kwa wote waliotangamana nao.