- 885 viewsDuration: 2:57Waziri wa Hazina ya Kitaifa, John Mbadi, sasa anawataka Wakenya kumpa nafasi Rais William Ruto kuimarisha uchumi, akisema marais waliomtangulia hawakuwa na changamoto kama anazozipitia. Mbadi, aliyezungumza na runinga ya Citizen, alisema ukame ulioshuhudiwa mwaka uliopita pamoja na maandamano ya Gen Z yalichangia kupungua kwa pato la kitaifa kutoka asilimia 4.7 hadi asilimia 4.6.