Skip to main content
Skip to main content

Mbappe aomba radhi kwa kumtania kiongozi wa zamani wa China

  • | BBC Swahili
    53,677 views
    Duration: 1:58
    Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappé, ameomba radhi baada ya meme iliyomlinganisha na aliyekuwa kiongozi wa China, Mao Zedong, kuzua utata na kusababisha baadhi ya kampuni za China kusitisha ushirikiano naye. Meme hiyo ilitokana na utani wa mtandaoni uliomwita Mbappé "dikteta" kutokana na ushawishi wake mkubwa katika soka, lakini haikupokelewa vyema nchini China ambako Mao Zedong ni mtu mwenye nafasi kubwa katika historia ya taifa hilo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw