- 1,583 viewsDuration: 2:17Chama cha UDA kimemtangaza mwaniaji wa kiti cha eneo bunge la Mbeere North kwenye uchaguzi mdogo wa mwezi Novemba mwaka huu. Akifanya rasmi uzinduzi huo, naibu kinara wa chama cha UDA ambaye ni naibu rais Profesa Kithure Kindiki aliwahimiza vijana kutoa wazi maoni yao kuhusu uongozi wa nchi kwa lengo la kushinikiza suluhisho.