Mbinu za kisasa za mitandaoni za kukabiliana na msongo wa mawazo kwa vijana.

  • | K24 Video
    7 views

    Mara nyingi utawapata vijana wengi katika mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook, Instagram, Twitter na nyinginezo, ikiwa njia moja ya vijana kutoa msongo wa mawazo unaowakabili, au kujifurahisha tu. Na mwezi julai unapoanza ukiwa mwezi wa kuadhimisha afya ya akili, wataalamu wa afya ya akili wanabuni mbinu za kisasa za mitandaoni ya kukabiliana na msongo wa mawazo kwa vijana.