6 Dec 2025 7:27 pm | Citizen TV 1,952 views Mbunge maalum aliyeteuliwa kupitia chama cha ANC, Denar Joseph Hamisi alifariki leo asubuhi kwenye ajali ya barabarani eneo la Karen, Nairobi.