Mbunge ndindi nyoro akemea maafisa wanaodhulumu

  • | Citizen TV
    1,072 views

    Viongozi mbalimbali wameendelea kukashifu visa vya polisi kuwapiga risasi wakenya wanaoshiriki maandamano ya kukashifu visa vya mauaji ya kikatili na utekaji nyara.