14 Jul 2026 1:06 pm | Citizen TV 3,001 views Duration: 1:23 Kanini Kega ameandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha Ol Joro Orok baada ya gari lake kuvamiwa na kupigwa risasi jana alipokuwa akitoka kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ol-kalou.