- 4,944 viewsDuration: 4:53Katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi mbunge wa Kilifi South Ken Chonga alifurushwa na wafuasi wa chama cha DCP kwa tuhuma za kuwahonga wapiga kura. Hata hivyo katika maeneo mengi ya eneobunge hilo, zoezi hilo limeendelea kama lilivyopangwa huku baadhi ya wapiga kura wakifika vituoni na wagonjwa kabla ya kuelekea hospitalini