Skip to main content
Skip to main content

Mbwembwe zasheheni siku ya bajeti mwaka wa 2026

  • | KBC Video
    809 views
    Duration: 2:37
    UTAMADUNI WA BAJETI Kando na masuala ya matrilioni ya pesa zilizotengewa kufadhili shughuli mbalimbali za kitaifa na mapendekezo ya ushuru, siku ya bajeti husheheni tamaduni, ishara na hafla za kipekee. Kuanzia wakati Waziri wa fedha anapotoka nje ya Jengo la wizara ya fedha akiwa amebeba mkoba maarufu wa bajeti, ukurunzi huelekezwa kwenye mtindo ambao umekuwepo na uwasilishaji wa mipango ya matumizi ya pesa za serikali kila mwaka. Mwaka huu, utaratibu huo uliendelezwa kwa utulivu huku maafisa wakuu wa serikali wakiandamana na Waziri wa fedha John Mbadi katika safari yake ya kuelekea Bungeni jinsi anavyotuarifu Trevor Ng'endo. #Darubini Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive