Skip to main content
Skip to main content

Mchezaji afariki baada ya kugongana kichwa na kipa

  • | BBC Swahili
    17,643 views
    Duration: 1:30
    Mshambuliaji wa klabu ya Tenerife nchini Uhispania, Jesús de Miguel, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30, baada ya kupata majeraha makubwa wakati wa mchezo wa ligi daraja la pili. De Miguel aliumia Jumatatu baada ya kugongana na kipa wa FC Andorra, Jesús Owono, wakati wachezaji hao walipokuwa wakiwania mpira wa juu. Mchezo huo ulisitishwa kufuatia tukio hilo, huku kipa Owono akionyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw