- 125 viewsMchezaji mashuhuri wa mchezo wa darts David Munyua amejikatia tiketi tena ya kuelekea kwenye mchezo wa dunia wa darts ya PDC nchini Uingereza baada ya kubwaga mpizani wake Evans Njuguna katika fainali ya kusisimua jijini Nairobi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya