- 150,692 viewsDuration: 1:57Meli ya kivita ya Marekani USS Ross imetia nanga Mombasa. Meli hiyo imewasili Mombasa ikitokea Ghuba ya Uajemi ambapo inadaiwa kushiriki katika operesheni za kijeshi Mashariki ya Kati. Marekani inasema ziara hiyo ni ya kawaida kwa ajili ya mapumziko lakini kwa nini Mombasa? Na je, bandari hiyo inazidi kuwa muhimu kimkakati kwa Marekani katika bahari ya Hindi? #bbcswahili #USSROSS #Mombasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw