Skip to main content
Skip to main content

Meneja mhariri wa Citizen Tv Jamila Mohamed pamoja na mwanahabari Bonface Barasa watuzwa na IGAD

  • | Citizen TV
    121 views
    Meneja mhariri wa runinga ya Citizen Jamila Mohamed na Mwanahabari wa RMS wa kaunti ya Samburu, Bonface Barasa wamezoa tuzo za uanahabari za IGAD kwa uandishi bora wa taarifa zinazohusu jamii. Sherehe ya kutoa tuzo hizo ilifanyika Jijini Addis Ababa Ethiopia.