- 1,598 viewsDuration: 3:20Mchezaji Lionel Messi, 39, ambaye ana mkataba na Inter Miami hadi mwaka 2028, alitangaza kuwa kipindi chake cha mafanikio na timu ya taifa ya Argentina kimefikia mwisho baada ya zaidi ya miaka 20. Messi amefunga jumla ya mabao 921 akiichezea Barcelona, Paris St-Germain, Inter Miami na Argentina. Ahmed Bahajj anaangazia baadhi ya matukio muhimu na ya kukumbukwa katika safari yake ya soka #bbcswahili #lionelmessi #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw