Skip to main content
Skip to main content

Methusela Lusato: Mpiga gitaa la besi anayevuma mitandaoni

  • | BBC Swahili
    12,211 views
    Duration: 3:39
    'Wimbo wa lango umefungua milango yangu' Methusela Lusato @methugroover ni mpiga gitaa la besi kutoka Tanzania, anayejulikana zaidi kwa kupiga katika kwaya ya Neema Gospel Hivi karibuni alipata umaarufu mitandao kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kupiga gitaa la besi wakati wa maonesho ya muziki wa injili jukwaani. Kipaji chake cha muziki na uwezo wake wa kuvutia hadhira jukwaani vimemfanya azidi kuzungumziwa na watu kwenye mitandao ya kijamii. @davidnkya255 alizungumza naye #bbcswahili #neemagospel #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw