10 Dec 2025 1:30 pm | Citizen TV 1,432 views Duration: 54s Mfanyabiashara Lucy Muthoni amefikishwa katika mahakama ya makadara na kushtakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa mtandaoni.