Skip to main content
Skip to main content

Mfanyabiashara mmoja kutoka Australia anakadiria hasara ya zaidi ya shilingi milioni 77

  • | Citizen TV
    346 views
    Duration: 4:25
    Mfanyabiashara mmoja kutoka Australia anakadiria hasara ya zaidi ya shilingi milioni 77 baada ya kulaghaiwa na watu walioahidi kumuuzia kilo 600 za dhahabu. Andrew Gaballa anasema alikuwa ameingia kwenye makubaliano na watu kadhaa wenye uraia wa marekani na mkenya mmoja kwamba wangemuuzia dhahabu hiyo na kisha kuisafirisha hadi dubai. Ila baadaye wahusika walitoweka na fedha zake bila kuwasilisha dhahabu waliyokuwa wamekubaliana