Mfumo Dijitali Busia: Mfumo wa kupima uzani wa malori kidijitali wasisimua

  • | Citizen TV
    470 views

    Ujio wa mfumo wa kidijitali wa kupima uzani wa malori ya kusafirisha mizigo ya masafa marefu mjini Busia ulioanzishwa na idara ya uchukuzi, umetoa suluhu ya kudumu kwa kupunguza msongamano wa malori ambao umeshuhudiwa kwa miaka mingi.