Skip to main content
Skip to main content

Mfumo wa kawi ya miale ya jua wazinduliwa magerezani

  • | KBC Video
    96 views
    Duration: 3:09
    Idara ya magereza inazingatia matumizi ya kawi safi katika juhudi za kuboresha magereza na mchakato wa kudumisha haki.Mfumo mpya wa matumizi ya kawi inayotokana na miyale ya jua,ulizinduliwa leo katika gereza la rumande la Nairobi,hatua inayotarajiwa kupunguza gharama ya umeme na kuhakikisha kwamba kesi zinazoendeshwa kupitia mtandao hazikatizwi.Waziri wa kawi Opiyo Wandayi,alipongeza hatua hiyo huku akitoa wito kwa magereza mengine kuiga mfano huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive