Mfumo wa maji taka unavyosaidia kumwagilia mbogamboga

  • | BBC Swahili
    353 views
    Kijana wa Kitanzania Jimson Julius ametengeneza mfumo wa kusafisha maji taka yote yanayozalishwa kwenye nyumba yake kutokana na shughuli mbalimbali ikiwemo haja ndogo na kuyatumia tena kwa shughuli za kilimo kwenye bustani zake Mfumo huo ambao unajumuisha mpangilio maalumu wa mawe, changarawe, mkaa, mchanga udongo na mizizi ya mimea unamuwezesha kufanya kilimo kwa mwaka mzima Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alikutana naye na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #kilimo