Skip to main content
Skip to main content

Mgodi wa Zamboi waporomoka na kuu Watu 107

  • | BBC Swahili
    31,312 views
    Duration: 47s
    Takriban watu 107 wamefariki dunia kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la uchimbaji madini huko Zamboï, eneo lililo kwenye mpaka kati ya Cameroon na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Haijulikani bado kilichosababisha maporomoko hayo ya ardhi. #bbcswahili #zamboimine #mgodikuporomoka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw