Mgogoro wa bajeti ya Isiolo

  • | Citizen TV
    88 views

    Muungano wa upinzani umeendelea kuikosoa serikali kwa kutumia nguvu kuwakandamiza wale wasiokubaliana na sera za serikali. Wakiongea na wanahabari, viongozi hao akiwemo martha karua na kalonzo musyoka wamesema wataendelea kukemea maovu ya serikali ya kenya kwanza huku wakilenga kuondoa mamlakani katika uchaguzi mkuu wa 2027. Baadhi ya Viongozi katika Kaunti ya Isiolo wamekanusha madai ya kuidhinisha bajeti ya mwaka wa 2025/2026 ya kaunti hiyo kwa njia ya udanganyifu, wakisisitiza kuwa mchakato huo ulifuata sheria kikamilifu . Wametahadharisha wakazi dhidi ya kupotoshwa na siasa za uchochezi, huku wakikanusha pia kuwepo kwa mpango wa kumuondoa Karani wa Bunge, Salad Guracha.