Skip to main content
Skip to main content

Mgombea wa upinzani Zambia aliyeituhumu Tanzania matatani #bbcswahili #tanzania

  • | BBC Swahili
    25,593 views
    Duration: 1:36
    Serikali ya Zambia imemhusisha mgombea mkuu wa upinzani, Brian Mundubile na eneo ambalo vikosi vya usalama vilikamata silaha nzito za kijeshi katika operesheni inayodaiwa kulenga kuzuia mpango wa uasi wa kutumia silaha. Watu 11 wamefikishwa mahakamani, huku Mundubile akikana tuhuma hizo na akiendelea kupinga matokeo ya uchaguzi yanayoonesha Rais Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya awali. #bbcswahili #zambia #uchaguzizambia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw