Mgomo Wa Madaktari: Magavana watishia kuchukua hatua

  • | KBC Video
    81 views

    Baraza la magavana limeapa kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya wahudumu wa afya ambao wamekosa kurejea kazini, kinyume na agizo la mahakama kuhusiana na mgomo unaoendelea katika sekta ya afya. Mwenyekiti wa baraza hilo Anne Waiguru aliitahadharisha serikali kuhusu kutekeleza mkataba wa pamoja wa makubaliano, akisisitiza hatua hiyo itaathiri sekta ya utumishi wa umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive