19 May 2026 10:19 am | Citizen TV 12,288 views Duration: 4:52 Kwa siku ya pili magari ya uchukuzi wa umma yamesalia kuegeshwa, wahudumu wa matatu wakitaka serikali kushukisha bei ya mafuta ya petroli na dizel