Shirikisho la sekta ya uchukuzi wa umma limefutilia mbali mgomo wa kitaifa wa magari ya uchukuzi wa umma ulioaratibiwa kufanyika Jumatatu ijayo. Mgomo huu ulipangwa baada ya kuongezeka kwa visa ambapo waendesha boda boda wamekuwa wakishambulia magari ya usafiri wa umma wakati wa ajali. Wakati wa mkutano na waendesha boda boda katika Kaunti ya Narok, Mkurugenzi Mkuu wa shirikisho hilo, Kushian Muchira, alisema mazungumzo tayari yameanza ili kutatua matatizo kati ya pande hizo mbili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive