9 Oct 2025 1:07 pm | Citizen TV 150 views Duration: 1:36 Wauguzi katika Kaunti ya Siaya wanadai fidia kwa wenzao 20 waliojeruhiwa wakati wa shambulio la hivi karibuni wakati wa maandamano ya amani katika makao makuu ya serikali ya kaunti hiyo.