Skip to main content
Skip to main content

Mgongowazi: Je watoto wanaozaliwa na hali hii wanaweza kutimiza ndoto zao?

  • | BBC Swahili
    3,226 views
    Duration: 2:45
    Mgongowazi husababishwa na nini na je, watoto wanaozaliwa na hali ya mgongowazi wanaweza kuishi maisha ya kawaida na kutimiza ndoto zao? Pamoja na changamoto za matibabu, familia nyingi bado zinakabiliwa na unyanyapaa na imani potofu kwamba hali hii inahusiana na ushirikina. Daktari bingwa wa upasuaji wa ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Japhet Ngerageza, anafafanua zaidi kuhusu hali hii, namna inavyoweza kuzuilika au kugundulika mapema, na umuhimu wa jamii kuwaunga mkono watoto na familia zinazokabiliana nayo. 🎥 @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #afya #mgongowazi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw