Skip to main content
Skip to main content

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Tanzania adaiwa 'kutaka kuchoma majengo ya polisi'

  • | BBC Swahili
    25,677 views
    Duration: 1:29
    Wakili wa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi anasema mteja wake sasa anatuhumiwa kwamba alikuwa na nia ya kuchoma majengo ya umma pamoja na makazi ya askari Polisi katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, ikiwemo Zanzibar. #bbcswahili #tanzania #udom Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw