Skip to main content
Skip to main content

Mhudumu wa bodaboda, mkewe na mwanao wapatikana wamefariki katika hali tatanishi

  • | KBC Video
    2,165 views
    Duration: 3:03
    Polisi katika eneo la Githunguri, katika kaunti ya Kiambu , wameanzisha uchunguzi kuhusiana na vifo vya wanafamilia watatu katika kijiji cha Riamute, vilivyotokea katika hali tatanishi. Wakazi walikumbwa na mshangao baada ya miili ya wenda zao kupatikana nyumbani mwao. Mengi zaidi ni katika taarifa ifuatayo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive