- 3,590 viewsDuration: 2:46Viongozi wa odm leo wamefanya maombi maalum kaunti ya Kilifi, wakihitimisha hafla za kuadhimisha miaka ishirini ya chama hicho. Hayo yanajiri huku waanzilishi wa chama hicho wakiongozwa na Rais William Ruto wakikongamana jana usiku kwa maankuli ya pamoja kukumbuka kubuniwa kwa chama hicho cha chungwa.