Skip to main content
Skip to main content

Miaka 30 ya muziki wa Bongo Flava Tanzania

  • | BBC Swahili
    17,463 views
    Duration: 41s
    Wasanii wa zamani wa Bongo Fleva nchini Tanzania wamesherehekea miaka 30 ya muziki huo kwa tamasha maalumu lililowakutanisha pamoja jukwaani baada ya miaka mingi Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds amefuatilia tamasha hilo na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #bongoflava #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw