- 19,109 viewsDuration: 3:34Takriban miaka mitano baada ya mkasa uliosababisha vifo vya zaidi ya watu 30 katika mto enziu, kaunti ya kitui, eneo hili katika hali hiyo licha ya ahadi za viongozi kuhusu kujengwa kwa daraja hilo. Wakazi wanaendelea kuvuka mto huo hatari kila siku, hata baada ya rais william ruto kuwahakikishia kwamba daraja lingekamilika kufikia februari mwaka huu. Na kama anavyoarifu ode francis, februari na machi imepita, na sasa, aprili inapoanza, ahadi hiyo inaonekana kuwa ya mbali kwani hakuna kilichoanza hadi sasa.