- 589 viewsHali ya ukame katika maeneo ya Kaskazini Mashariki inaendelea kuzorota huku wakazi wakikabiliana na uhaba mkubwa wa chakula na maji. Katika Kaunti za Wajir na Mandera, mamia ya mifugo tayari imeangamia, na familia nyingi sasa zinahangaika kama anavyoarifu mwandishi wetu wa kaunti ya Wajir Hashiim Jimaal