Kadiri idadi ya watu duniani inavyozidi kuongezeka, miji inageuka kuwa vitovu vya maendeleo ya kiuchumi, kielimu, na kijamii.
Hali hii imesababisha baadhi ya miji kuwa na mamilioni ya watu, idadi ambayo ni kubwa zaidi kuliko wakati wowote katika historia.
Ripoti mpya ya World Population Review ya mwaka 2026 imetangaza orodha ya miji yenye watu wengi zaidi duniani mwaka huo.
Ripoti hiyo inaonyesha kuwa miji ya Asia ndiyo inayoongoza katika orodha ya miji yenye msongamano mkubwa zaidi wa watu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw