- 15,823 viewsDuration: 4:09Serikali ya Tanzania imesitisha mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini kote, ikisema hatua hiyo ni muhimu ili kudumisha usalama wa taifa. Serikali imesema imebaini vitisho vya kiusalama, ikiwa ni pamoja na watu wanaodaiwa kukutwa na silaha walipokuwa wakipanga kutekeleza vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, uamuzi huo umekosolewa na vyama vya upinzani, ambavyo vinadai kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kinyume cha sheria. Mwandishi wa BBC @sammyawami na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #vyamavyasiasa #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw