Skip to main content
Skip to main content

Milka Wambui Mwangi | Mwanamke jasiri anayeinua biashara kutoka Nyeri hadi Nairobi

  • | Citizen TV
    944 views
    Duration: 6:02
    Wanawake wengi huwa na ndoto za kujiimarisha kiuchumi kupitia biashara lakini ni wachache wanaofanikisha malengo yao. Changamoto na vikwazo mbalimbali vikisababisha wengi kukata tamaa njiani. Hata hivyo Milka Wambui Mwangi ni mfano hai wa wanawake jasiri wanaopigania ndoto zao na kujizatiti kwa hali na mali. Milka amejiinua Kutoka biashara ya uchuuzi wa bidhaa ndogo mjini Nyeri hadi kuwa mmliki wa kampuni ya kusafirisha wafanyibiashara nje ya nchi hapa nairobi. Je, ni kipi kilichompa msukumo wa kupiga hatua hiyo na vipi ameweza kudumu katika biashara? Tupate mengi katika makala yetu ya mwanamke bomba yanayofuata sas