- 872 viewsDuration: 3:55Mji wa Kwale, ambao kwa miaka mingi ulikuwa umesahaulika na kusongwa na changamoto za miundombinu duni, sasa umefufuka na kugeuka kuwa kitovu cha biashara na mendeleo baada ya kupandishwa hadhi kuwa manispaa na Serikali ya Kaunti hiyo.