- 186 viewsDuration: 2:02Misaada ya chakula katika shule za msingi zilizo katika maeneo yaliyoathirika na ukame katika kaunti ndogo ya Kauma kaunti ya Kilifi, imesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza visa vya dhuluma dhidi ya wasichana kwa zaidi ya asilimia 50.