- 301 viewsDuration: 1:18Mitihani ya kitaifa ya shule ya msingi na sekondari msingi imeanza. Katibu katika wizara ya elimu julis botok amesema watahiniwa milioni 2.4 wanafanya mitihani ya KPSEA na KJSEA kote nchini. bitok aliyasema hayo alipofungua kontena ya mitihani hiyo hapa jijini nairobi.