Skip to main content
Skip to main content

'Miujiza ya muhubiri': waziri wa afya aagiza KMPDC kufanya uchunguzi

  • | Citizen TV
    19,213 views
    Duration: 3:01
    Baraza la madaktari nchini (KMPDC) limeanzisha uchunguzi huku likitoa onyo kwa watu waliodai kuponywa kwa miujiza ya kidini wakati wa mkutano wa muhubiri David Owuor. Baraza la KMPDC likisema kuwa madaktari walionaswa kwenye kisahicho cha uponyaji wa kimiujiza pia wakichunguzwa.