- 615 viewsDuration: 2:19Msimamizi wa bajeti Margaret Nyakango sasa amelalamikia mzigo wa madeni nchini akisema kuwa unazidi kuathiri utekelezaji wa bajeti. Nyakango anasema kuwa madeni hayo yanalazimisha hazina ya kitaifa kuchelewesha kutoa pesa za matumizi kwa idara tofauti za serikali.