Skip to main content
Skip to main content

Mizozo kuhusu umiliki wa ardhi yaathiri wawekezaji Magarini

  • | Citizen TV
    182 views
    Duration: 1:11
    Baadhi ya wakaazi wa eneo la Magarini kaunti ya Kilifi wameomba viongozi kutatua mizozo baina ya waekezaji na wananchi wa eneo Hilo ili wananchi wasikose ajira iwapo kampuni zitafungwa.